
“Kabla ya kuchaguliwa Rigathi Gachagua na William Ruto, mimi nilikua nimepinga. Amechaguliwa ndo maneno ya UDA na sisi imeanza kuzoroteka. Kwa sababu huyo jamaa ni dikteta. Makosa yangu nikusema kweli kwa sababu niliambia Ruto atapoteza kura mingi kwa huyu jamaa. Nimeona William Ruto na chama yake ya UDA wanataka kumeza vyama vyote vya huku mlimani. Na mimi nimekataa kumezwa”William Kabogo charged.Tujibebe party Kiambu Governor candidate William Kabogo and his CCK counterpart Moses Kuria were a no-show at the Kenya Kwanza Alliance rally in Kiambu on Thursday. The two say they will not attend any rallies with Ruto until their grievances are hard and solved
Discussion about this post